FAIDA ZA TUNDA LA STAFELI KATIKA KUZUIA UGONJWA WA SARATANI

STAFELI

• • • • • •

Licha ya stafeli kuwa maarufu kwa ladha yake tamu na ya kipekee, pia lina utajiri wa kuwa na nyuzinyuzi (fiber) ambazo ni muhimu katika mmeng'enyo wa chakula. Pia lina utajiri wa Vitamin C. .

.

Tafiti kadhaa zinaeleza stafeli lina uwezo wa kudhibiti saratani ya matiti kwa kuzuia ukubwa wa uvimbe, kuua seli za kansa (cancer cells) na kuimarisha kinga ya mwili.


Stafeli pia huweza kupambana na saratani ya damu (leukemia) ambapo linaweza kuzuia ukuaji na utengenezaji wa seli za kansa. .

.

MUHIMU:

Tafiti hizi zinahusisha ghafi za kutosha za stafeli (soursop extract). Hivyo, Tafiti zaidi zinahitajika kufanywa ili kuthibitisha uwezo wa stafeli kupambana na saratani kwa ulaji wa kawaida tu. Lakini, wataalamu wa Lishe wengi wanashauri kulitumia kawaida tu kwa manufaa tajwa hapo juu. via drtareeq


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!