HALI YA KUOTA VISHANGAZI USONI(DERMATOSIS PAPULOSA NIGRA)

HALI YA KUOTA VISHANGAZI USONI(DERMATOSIS PAPULOSA NIGRA)

• • • • • •

Hii hali inaitwa Dermatosis papulosa nigra .. Ni hali ya kawaida tu 


Kama una hii hali hii usiwe na hofu wala mashaka.. We endelea kula maisha 



Hali hii inajumuisha kuwa na vitu vyeusi kwenye Ngozi ya Usoni kama vichunusi maarufu kama vishangazi.


Havina madhara yoyote,wala sio ugonjwa ambao huhitaji Tiba.


CHANZO


Hakuna sababu ya moja kwa moja ya kutokea hali hii, japo kuna utafiti kwamba hali hii huwapata sana Watu weusi kuliko weupe,na watu wa koo Moja.


WATU WALIO KATIKA HATARI YA KUPATA


- Watu ambao kwenye koo zao kuna ndugu wenye Vidoti hivi


- Watu weusi


TIBA

Hakuna matibabu rasmi yanayojulikana mpaka sasa juu ya hali hiii ya kuwa na vidoti hivi vya ngozi maarufu kama Shangazi

0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!