HALI YA SASA YA MAAMBUKIZI YA VVU DUNIANI

VVU/UKIMWI

.

👉Mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka 2019 watu wapatao million 40 wanaishi na VVU


👉Kwa mwaka 2019 pekee kumekua na maambukizi mapya ya VVU yapatayo million 2 


👉Kwa mwaka 2019 pekee watu wapatao 900000  wenye VVU walipoteza maisha


👉Watu wapatao milioni 25 wenye VVU mpaka kufikia mwishoni wa mwezi juni 2020 wanatumia dawa za ARV


👉Watu wapatao milioni 100 wameambukizwa VVU toka ugonjwa huu utambulike rasmi mnamo mwaka 1981


👉Watu wapatao milioni 40 wenye VVU wamepoteza maisha toka ugonjwa huu utambulike rasmi mnamo mwaka 1981


👉Kila wiki wanawake  5500 wenye umri kati ya miaka 15-25 hupata maambukizi mapya ya VVU


KWA TANZANIA


👉Watu wapatao 200 hupata maambukizi mapya ya VVU kila siku


👉Watu 8 hupata maambukizi ya VVU kila saa


Hii ni kwa mujibu wa TACAIDS na UNAIDS 2020


TUCHUKUE TAHADHARI. BAKI NJIA KUU,NYAMA NI ILE ILE ..

#doktamathew


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!





0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!