IJUE OPERATION YA KUPUNGUZA MASHAVU YA UKE YENYE SHIDA( LABIOPLAST)
LABIOPLAST
Katika ulimwengu wa sayansi ya tiba utaalamu umeendelea kuimarishwa;kwa sasa hata kwenye mambo ambayo yalikua hayafikiriwi sasa yanafanyika
Labioplast ni aina ya tiba (upasuaji wa kurekebisha,plastic surgery) ambayo hufanyika ili kurekebisha mashavu ya ndani ya ukeni ambayo yanamatatizo. Operesheni baada ya kufanyika mgonjwa atatakiwa kupumzika kwa muda wa wiki moja na kutokufanya mapenzi kwa muda wa wiki 7
Upasuaji wa kurekebisha mashavu au kuyapunguza hufanyika kwa wanawake ambao wenye mashavu ambayo ni marefu,yenye uvimbe,manene sana au ambayo hayalingani pande zote mbili. Mashavu hayo anaweza kuzaliwa nayo yakiwa yana shida au akapata shida baada ya kuzaliwa. via Dr. Mathew
.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!