IJUE ORODHA YA MAGONJWA YA KUAMBUKIZA NA YALE YASIOYA KUAMBUKIZA
➡️ Magonjwa
(A) MAGONJWA YA KUAMBIKIZA
Haya hapa ni Baadhi ya Magonjwa ambayo huweza kutoka kwa Mtu mmoja kwenda kwa Mwingine;
- Ugonjwa wa Corona
- Ugonjwa wa Ukimwi
- Ugonjwa wa Homa ya Ini
- Ugonjwa wa Fangasi
- Ugonjwa wa UTI
- Ugonjwa wa kifua kikuu au TB
- Ugonjwa wa Ebola
- Magonjwa Yote ya Zinaa kama vile; Kisonono,kaswende n.k
- Ugonjwa wa mafua
- Ugonjwa wa Zika
- Ugonjwa Wa Measles au Surua
- Ugonjwa wa Kipindupindu
- Na Mengine......
(B) MAGONJWA YASIO YA KUAMBUKIZA
- Ugonjwa wa Kisukari
- Ugonjwa wa Presha au Shinikizo la Damu
- Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo
- Ugonjwa wa sickle cell
- Ugonjwa wa Asthma
- Magonjwa ya Moyo
- Magonjwa ya akili
- Kansa au Saratani zote,Mfano; Saratani ya Ngozi,Damu,matiti,kizazi,shingo ya Kizazi,Koo n.k
- Ugonjwa wa Kifafa
- Ugonjwa wa Malaria
- Ugonjwa wa Typhoid
- Tatizo la Stroke
- Magonjwa yote ya Mifupa
- Ugonjwa wa Kuziba Mirija ya Uzazi
- Uvimbe kwenye Kizazi na maeneo mengine ya Mwili
- Uzito uliopitiliza au Obesity
- Presha Ya Macho na magonjwa mengine ya Macho
- Na mengine mengi.........
.
.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
afya
afyaclass
afyatips
magonjwa
magonjwa ya wanaume
magonjwa ya wanawake
magonjwa ya watoto
makala
muhimu
new
post
uzazi
videos
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!