JE MAMA MJAMZITO ANARUHUSIWA KUFANYA MAPENZI?
Mama mjamzito ambae Hana Tatizo lolote la kuhatarisha usalama wa MIMBA,anaruhusiwa kufanya sex tangu anapata mimba mpaka siku anapata uchungu au anapasuliwa.
Lakin kuna hali hizi hapa Chini mama mjamzito hatakiwa kufanya sex au anatakiwa kufanya sex kwa umakin Zaid.
1.mwanamke anaetoka damu ukeni
2.mwanamke ambae chupa imepasuka anatoka 'MAJI' sio yale maji maji ya uken hapana,maji ya kwenye Chupa.
3.mwanamke ambae shingo ya kizazi haipo imara yaan ana cervical incompetence.
4.mwanamke ambae kondo lake limekalia chini yaan placenta praevia
5.mwanamke ambae mimba zinatoka mara kwa mara au anajifungua kabla ya wakati umakini na ushauri wa dr wapaswa zingatiwa kulingana na hali.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!