JE UMEKAA MDA MREFU PASIPO KUONA HEDHI YAKO? ZIJUE BAADHI YA SABABU ZA TATIZO HILO
KUKOSA HEDHI
• • • • • •
JE UMEKAA MDA MREFU PASIPO KUONA HEDHI YAKO? ZIJUE BAADHI YA SABABU ZA TATIZO HILO
Mzunguko wako wa hedhi ulikuwa uko sawa gafla unashangaa mwezi wa kwanza unaisha bila kuona hedhi,mwezi wa pili nakuendelea,wengine mpaka mwaka unaisha,na hawaelewi wana shida gani au tatizo ni nini.
Tatizo hili huwapata wanawake wengi siku hizi,sio wewe peke yako. Twende pamoja katika makala hii,utanielewa taratibu hakuna shida.
ZIPO SABABU ZA KUSABABISHA MWANAMKE KUKOSA HEDHI KAMA VILE;
Kuna sababu ya kawaida kabsa ambayo sio tatizo ni UJAUZITO, Ukipata mimba huwezi ukaona siku zako za hedhi.
Lakini sababu zifuatazo Sio za kawaida au ni Tatizo;
- Mvurugiko wa vichocheo vya mwili au kwa kitaalam Hormone imbalance, ambapo shida hii huchangiwa na vitu vingi kama matumizi ya baadhi ya Njia za Uzazi wa mpango kama Sindano N.K
- Kuwa na tatizo la Uzito mdogo sana au kwa kitaalam tunaita Underweight
- Tatizo la Msongo wa mawazo
- Kupatwa na shida katika tezi lako la Thyroid hivo kuathiri mifumo mbali mbali ya mwili hasa katika vichocheo vyako
- Matumizi ya baadhi ya Njia za Uzazi wa Mpango kama nilivyoeleza hapo juu Mfano ni SINDANO.
- Kupatwa na Tatizo la polycystic ovarian syndrome au PCOS kwa kifupi
- Kutokula chakula bora au Balance diet
- Kufanya Mazoezi kupita Kiasi au kufanya kazi Ngumu sana.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!