JE UNAWASHWA SEHEMU ZA SIRI KWA MUDA MREFU??
Kama ndio fanya yafuatayo:- 1) Wasiliana na Dr wako ili kubaini kama unauwezekano Wa kua na magonjwa yafuatayo:-fangasi za sehemu za siri,kisamaki,mabadiliko ya vichocheo,lichen simplex,lichen sclerosis, psoriasis,aleji ya uke/uume,bawasiri/kikundu,mipasuko katika njia ya haja kubwa nk.
2) Acha kupiga deki au kusafishia madawa au masabuni makali sehemu za siri
3) Acha kuvaa sketi au suruali zinazobana na badala yake vaa ambazo hazikubani.
4) Vaa chupi au boksa za pamba na sio za polyster au material mengine.
5) Unaweza ukaacha kuvaa chupi,bikini,boksa kama unazidi kupata matatizo.
6) Usipendelee kuvaa nguo za jeans
7) pendelea kuvaa mavazi ya kuogelea yasobana
8) usipulizie madawa au perfume ukeni,usitumie hairdryer kukausha sehemu za siri,epuka matumizi ya wipers, pantiliner, toilet paper zenye rangi,
9) Usijikune wala kujikwangua kunakowasha...muone Dr akupe dawa.. Maana kunaweza kubadilika na kukawa saratani.
#doktamathew
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!