Kukoroma Usingizini
• • • • • •
1. Lalia ubavu na sio chali
2. Usilalie mto kwani huinua kichwa chako na kuongeza kukoroma
3. Unaweza inua nguzo za mbele(unapoweka kichwa) za kitanda ili kupainua kidogo(hii ni bora tofauti na kulalia mto)
4. Punguza uzito
5. Punguza/acha kabisa kunywa pombe na kutumia vidonge vya usingizi kwani husababisha ku-relax kwa soft palate
6. Epuka uvutaji sigara kwani husababisha soft palate kuvimba
7. Mwambie unaelala naye akushtue kidogo kama anakuamsha, hii husaidia wewe kuacha kukoroma
8. Ikishindikana, Mnunulie unaye lala naye 'earplugs' za masikioni avae nyakati za kulala
cc.drtareeq
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
afya
afyaclass
afyatips
magonjwa
magonjwa ya wanaume
magonjwa ya wanawake
magonjwa ya watoto
makala
muhimu
new
post
uzazi
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!