KANSA YA MAPAFU,DALILI ZAKE PAMOJA NA MATIBABU YAKE
KANSA YA MAPAFU
.........
KANSA YA MAPAFU,DALILI ZAKE PAMOJA NA MATIBABU YAKE
Katika mwili wa Binadamu kuna aina nyingi za Kansa Ikiwemo hii ya mapafu ambayo tunaizungumzia hivi Leo. Kansa hizo ni pamoja na;
- Kansa ya Damu
- Kansa ya Ngozi
- Kansa ya Mapafu
- Kansa ya Koo
- Kansa ya utumbo
- Kansa ya shingo ya Kizazi
- Kansa ya matiti
- Kansa ya kizazi
- Kansa ya Ini
- Kansa ya Ubongo
- N.K
Hivi leo tutazungumzia kuhusu aina hii ya kansa ya mapafu,Je dalili zake ni zipi? na matibabu yake ni yapi?
Kama lilivyo neno lenyewe,Kansa hii hutokea kwenye mapafu, na endapo itatokea Mgonjwa atapata Dalili zifuatazo;
- Mgonjwa sauti kubadilika na kutoka na mikwaruzo
- Kutoa sauti kama filimbi wakati wa kuvuta na kutoa hewa kwenye mapafu
- Mgonjwa kupatwa na shida wakati wa upumuaji
- Kupatwa na hali ya kuchoka kupita kiasi
- Maumivu ya viungo pamoja na Kifua hasa wakati wa kuvuta na kutoa hewa
- Kupatwa na shida ya kukuhoa mara kwa mara
- kukosa hamu ya kula
- Mgonjwa kuchoka kupita kiasi
MATIBABU
Kama zilivyo kansa zingine,urahisi wa matibabu ni pale ambapo ugonjwa huu umegundulika mapema kabla ya kufikia stage mbaya,Kwani ikifikia stage mbaya hata kutibu pia ni vigumu. Hivo pale ukijihisi tofauti pamoja na kuona dalili nilizozitaja hapo juu wahi hospital kwa ajili ya uchunguzi zaidi.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!