KICHAA CHA MBWA

FAHAMU KWA UNDANI JUU YA KICHAA CHA MBWA

• • • • • •

KICHAA CHA MBWA


Ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vinavyoitwa Rabies lyssavirus


Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa machache yanayoweza kusambaa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu.


Ugonjwa huu usambazwa na wanyama mbalimbali, kutoka kwa hao wanyama kwenda kwa binadamu


Mbwa ni mnyama anayechangia zaidi ya asilimia 99 ya usambaaji wa ugonjwa huu kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadam.


Hivyo basi tukidhibiti tatizo hili kwa mbwa, kwa kiasi kikubwa tunakuwa tumedhibiti usambaaji wa tatizo hili kwa binadamu kwa asilimia 99.


USHAURI: 

1. Kumbuka kumpeleka mbwa kwenye chanjo za kichaa cha mbwa. 

2. Kuwa makini na mbwa koko wanodhurura mitaani, wasio na uangalizi.

3. Usifuge mbwa kama hauko tayari katika kumlisha, kumtibia na kumpatia kinga mbali mbali. Cc.Healthchecktz

.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!