KILA MWANAMKE ANATAKIWA KUFUATA HATUA HIZI TATU ZA KUOSHA UKE

UKE

• • • • • •

KILA MWANAMKE ANATAKIWA KUFUATA HATUA HIZI TATU ZA KUOSHA UKE:- 


√ Hatua ya kwanza-

Ingia bafuni hakikisha kuwa bafu ni safi ikiwezekana lifanyie bafu usafi kiasi ambacho utalizika nacho wewe kwani bafuni pia ni sehemu ambayo imekuwa ukiwaletea magonjwa mbalimbali wanawake hasa ikiwa chafu magonjwa ambayo huambatana na harufu mbaya ukeni, wakati wa usafi unaweza kujisafisha ukiwa umesimama wima au umechuchumaa. 


√ Hatua ya pili-

Polepole anza kusafisha uke wako kwa kidole cha pili toka dole gumba, kidole cha kati au chanda(kidole kiwekwacho pete ya ndoa) fanya hivyo kwa maji safi. Hii itakusaidia kuondoa uchafu wote mzito uliopo ukeni 


√ Hatua ya tatu na ya mwisho -

Suuza uke kwa kumwagia maji uke wako kuanzia mbele kurudi nyuma unaweza kutumia kikombe au kopo la plastiki hii pia itazui kupata ugonjwa na njia ya mkojo yaani UTI.

.

.

.



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!