KILA MZAZI ANAPENDA MWANAE AWE NA AFYA BORA

AFYA

• • • • • •

Kila mzazi anapenda mwanae awe na afya nzuri, mchangamfu na mwenye akili hii ni ndoto kwa kila mzazi

Lakini je unajua wakati sahihi wa kumjenga mwanao katika kila sector kwenye maisha yake ni wakati wa ukuaji wake (yaani kuanzia 0-miaka 11)?? ni muhimu uwekeze kwenye afya ya mwanao kupitia lishe


Sasa kwakua tunajua watoto hawapendi vyakula ambapo vyakula hivyo vina virutubisho vizuri ikiwemo madini ya calcium ambayo ni muhimu sana katika suala zima la ukuaji wao.


Tunavyo virutubisho aina mbili maalum kwa watoto kusaidia ukuaji wao

Vitabuddy ni bidhaa bora sana ya watoto ni chewable so inamvutia mtoto sababu ni kama pipi ina ladha natural za matunda na mboga hijawekwa additive kabisa 


Ni Antioxidant yaani kitoa sumu na itamsaidia mtoto kuongeza kinga ya mwili na kumwongezea ulinzi hivyo hataumwa umwa wala kupata allergy yeyote flu nk 


Atakuwa na Afya nzuri nywele kucha na ngozi za kuvutia ,itampa hamu ya kula na zaidi inaondoa na keweka mbali vimelea vya saratani hivyo mtoto atakuwa safe kwa mazingira yote.


milk candy

Inasaidia kujenga msingi imara wa afya ya mtoto sababu inajenga chembe hai 


Ina madini na vitamins essential kabisa na nafaka kamili (whole grain) ambazo husaidia kujenga mwili na utulivu wa akili ( Cognitive ability ,synthesizing, reasoning, applications, memorizing)kujenga kumbukumbu na afya nzuri ya akili 


mtoto atakuwa anafanya vizuri akianza masomo au anaendelea na masomo anakuwa na mazingatio mkubwa




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!