KINYESI KATIKA KUOGELEA
KUOGELEA+KINYESI
• • • • • •
Kwa mujibu wa @cdcgov ,muogeleaji wa kawaida bila kujali ni msafi kiasi gani huacha walau 0.14 grams za choo chake kwenye maji anayoogelea,iwe ni ziwani,baharini au swimming pool ndani ya dakika 15 za mwanzoni anapoanza kuogelea
-
Watu wenye tabia ya kuogelea sehemu mbalimbali wanashauriwa kuoga kwanza kwa kutumia sabuni ili kuondoa uchafu huu,hivyo kukinga magonjwa yanayoweza kuwapata waogeleaji wa maji husika kutokana na kubaki kwa uchafu wao,ikiwemo choo!
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!