KUKOSA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA
MATATIZO YA KUPUNGKIWA NA HAMASA AMA HAMU YA MAPENZI (DIMINISHED LIBIDO).
Hii ni ile hali ya mwanaume unakua umepungukiwa hisia za mapenzi au kutokua na hisia kabisa. Mara nyingi wanaume wenye shida ya kusimamisha ndo hua na tatizo hili kutokana na matokeo ya kutokusimamisha kwenye hisia zake japo si mara zote
VISABABISHI VYA MATATIZO YA KUPUNGKIWA NA HAMASA AMA HAMU YA MAPENZI
Zipo sababu nyingi sana ambazo zinaeza kupelekea mwanaume kukosa hamu ya mapenzi lakini KITU KIZURI NI KWAMBA NI VITU AMBAVYO VINATIBIKA KIRAHISI kwa hio kua muwazi kwa daktari wako ili aweze kukusaidia. .
visababishi hivo ni kama ifuatavyo
Ulevi wa pombe(Alcoholism)
Uchovu wa mwili(Fatigue)
Udumivu(Depression)
Matatizo ya mahusiano(Relationship problems) mfano kugombana kila mara,kutokua na furaha na mpenzi wako,kusalitiana,kutokujaliana nk
Kumuogopa mwanamke kwenye mapenzi(fear of humiliation) mfano mwanaume anaeogopa kwamba mkewe atamsema vibaya,atamdharau,atampiga nk
Upungufu wa kichocheo testosterone (Testosterone deficiency)
Magonjwa(Systemic illness); hili ni jambo la kawaida kwamba unapokua unaumwa ugonjwa wowote hamu ya kila kitu hupungua ikiwemo ya mapenzi.
Magonjwa ya akili(Sexual aversion disorder);watu wenye hali hii hua hawapendi kabisa kufikiria,kuwaza mambo yoyote yahusuyo mapenzi,wanakua hawataki kabisa hata mgusano tu wa tupu zao na za mtu mwingine. Kinachosababisha halii hii sana sana ni kua na historia ya kuumizwa kwenye mahusiano,kubakwa,kua na maumbile madogo sana,uchafu,mayatima,omba omba,umasikini kwa ujumla nk.
Matumizi ya madawa ya kusisimua (Recreational drugs) kama bangi,cocaine,heroine nk
MADAWA(DRUGS);Wanaume wanatumia dawa zifuatazo wanapata shida ya kua na hisia vizuri. Dawa hizo ni selective serotonin reuptake inhibitors [SSRIs], antiandrogens, 5-alpha reductase inhibitors, opioid analgesics.
.
Itaendelea.. Tag Rafiki yako..
.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!