KUNA UMUHIMU MKUBWA MWANAUME KUTAHIRIWA KIAFYA

 Kwa hivi sasa muamko wa Wanaume kutahiriwa sio Mbaya Japo kuna Jamii zingine bado umuhimu wa mwanaume kutahiriwa hawajauelewa.

Zipo Faida Nyingi kiafya endapo mwanaume atatahiriwa.


MWANAUME AMBAYE HAJATAHIRIWA YUPO KWENYE HATARI YA;


- Kupatwa na Saratani ya Uume pamoja na Ngozi kwa Urahisi

- Kupatwa na Magonjwa yanayohusisha njia au mfumo wa Uzazi kama Vile, UTI

- Kupatwa na HIV/AIDS kwa urahisi pamoja na Magonjwa Mengine ya Zinaa kama vile,Kaswende na Kisonono

- Ngozi ambayo haijatolewa huweza kuwa eneo zuri kwa ajili ya kuhifadhi Uchafu,Bacteria Pamoja na Fangasi/yeast

- Ni rahisi kumpelekea magonjwa mwenza wake wakati wa Tendo la Ndoa

NB; Ni muhimu sana kiafya kwa Mwanaume kutahiriwa na Wala sio Fashion.

.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!