KUOTA UPELE KWENYE NGOZI WAKATI WA HEDHI

HEDHI NA UPELE

• • • • • •

KUOTA UPELE KWENYE NGOZI WAKATI WA HEDHI


Hali hii huwatokea baadhi ya Wanawake kila wakifika karibu na kipindi cha Hedhi kuanza kuota upele kwenye ngozi halafu baada ya kumaliza Hedhi upele huo huisha kabsa, lakini hawafahamu sababu za tatizo hilo.


Sababu za Kuota upele kwenye Ngozi wakati wa Hedhi ni pamoja na;


Uchocheaji wa tezi za sebaceous ambao husababishwa na kushuka kwa kichocheo cha Progesterone na Estrogen mwanamke anapokaribia kuingia Hedhi.


Hali hiyo hupelekea utengenezaji wa mafuta kwenye Ngozi ya mwili maarafu kama SEBUM kwa kitaalam.


Mafuta hayo yanapokuwa mengi kwenye ngozi,hujazana sehemu moja na kutengeneza kitu kama chunusi au kipele



HIVO NDIVYO KIPELE HUTOKEA KWENYE NGOZI HASA USONI WAKATI WA HEDHI KWA BAADHI YA WANAWAKE.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!