KUSAFISHA DAMU(DIALYSIS) KWA WAGONJWA WENYE TATIZO LA FIGO KUFELI

KUSAFISHA DAMU(DIALYSIS)

• • • • • •

KUSAFISHA DAMU(DIALYSIS) KWA WAGONJWA WENYE TATIZO LA FIGO KUFELI


Zipo njia mbalimbali hutumika katika kusafisha Damu yaani kwa kitaalam Dialysis kwa Mgonjwa mwenye matatizo ya Figo kufeli, ikiwemo mgonjwa mwenye matatizo ya Figo kufeli kuwekewa aina ya Mrija maalumu Unaojulikana kama PERM-SO CATH,ambapo mrija huu huweza kuwekwa katika maeneo tofauti ya mwili kama vile Kifuani,Shingoni,Au kwenye paja.(Tazama picha hapo Chini kama Mfano)


MAMBO YAKUFANYA KWA AJILI YA KULETA AFYA YA FIGO ZAKO


1. Epuka kabsa matumizi ya pombe kupita kiasi, kwani huleta madhara makubwa na huathiri sana figo zako.


2. Kunywa maji ya kutosha,ni bora sio tu kwa afya ya mwili kwa Ujumla,ila ni pamoja na Figo.


3. Thibiti matumizi ya Dawa kwani huharibu figo zako


4. Hakikisha unadhibiti magonjwa kama Shinikizo la damu au presha pamoja na kisukari endapo unavyo.


5.  Dhibiti uzito wako wa mwili kwani uzito kupita kiasi pia ni hatari kwa Figo zako


6. Kama unapata dalili kama Mkojo kuchoma, kukojoa mara kwa mara, au maumivu upande wa kushoto, zaweza kuwa dalili za UTI,tibu uti iishe kabsa,Kwani UTI sugu huathiri mfumo mzima wa mkojo ikiwemo kibofu cha Mkojo pamoja na Figo.





0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!