KUVIMBA TUMBO NI DALILI YA UGONJWA GANI?

TUMBO

• • • • • •


Kama una tumbo kubwa namna hii halafu hauna nyama za kutosha sehemu nyingine  basi USIFURAHIE NA KUHISI NI KITAMBI!! Bali anza kusikitika na uanze kuchukua hatua za haraka ili kunusuru maisha yako..

.

Hakuna kitambi unakua na tumbo kubwa tu ila mikono,mapaja,makalio na kifua kumeisha yaani hakuna nyama za kutosha.

.

Tumbo la namna hii linaweza kuashiria UVIMBE au maji kujaa tumboni.

.

Kama una tumbo la namna nakusihi muone Dr ili ufanyiwe vipimo vya INI,FIGO,MOYO,MATAZIZO YA DAMU,VIPIMO VYA KUANGALIA KAMA UNA UVIMBE AU LA

.

Namna ya kujikinga na uwezekano Wa kupata magonjwa hayo👆

.

1)Pima na fahamu presha na sukari  yako


2)Acha au punguza matumizi ya pombe


3)Acha uvutaji Wa sigara


4) Punguza uzito wako


5) Fanya mazoezi Mara kwa Mara


6) kula mlo kamili na  uloshehehi matunda mbalimbali


7) Epuka matumizi karanga au nafaka zilizovunda


8) Kinamama chunguzeni shingo zenu za kizazi

.

.





0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!