KUWEPO KWA KUCHA ZENYE MISTARI HUASHIRIA NINI KIAFYA?
🔻Kama una kucha zenye mistari ya namna hii kwenye Picha Tazama hapo chini,basi jua unaweza kua na magonjwa haya;
1) kaswende(Syphilis)
2) kisukari(Diabetes)
3) Magonjwa ya mafigo(renal pathologies)
4) Maambukizi kwenye moyo(endocarditis)
5) Saratani ya ngozi (Melanoma)
6) Upungufu Wa vichocheo vya dundumio(hypothyroidism)
7) ugonjwa Wa soriasisi(psoriasis)
8) Upungufu Wa madini ya Zinc (zinc deficiency)
9) utapiamlo(malnutrition)
Ndugu zanguni kama una kucha za namna hii na HUJAUMIA YAANI KUCHA HAZIJAUMIZA NA KITU CHOCHOTE basi nakuasa muone Dr ili ufanyiwe uchunguzi Wa kina na utibiwe🙏 Cc.doktamathew
.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!