JE WAJUA KWANINI MWANAMKE HUPATA UTI MARA KWA MARA ZAIDI YA MWANAUME?
SOMA HAPA..
Ni dhahiri kwamba Mwanamke husumbuliwa na UTI mara nyingi sana zaidi ya mwanaume. Na zipo sababu mbalimbali kiafya. Kama ifuatavyo;
1. Sababu ya kimaumbile; Hii inajumuisha maumbile ya sehemu za siri za mwanake yalivyo,ikiwemo ufupi wa Njia ya Mkojo, pamoja na Ukaribu wa wake na sehemu ya haja kubwa;
Kutokana na sababu hii,mwanamke hushauriwa kujisafisha kutoka mbele kurudi nyuma wakati wa kujisaidia,na sio kutoka nyuma kwenda mbele,kwani ni rahsi sana kutoa uchafu sehemu ya haja kubwa kwenda sehemu za siri ikiwemo njia ya mkojo, na kupelekea kupata maambukizi mbalimbali yakiwemo ya UTI.
2. Hali ya Ujauzito; Hii ni kutokana na kwamba,Ujauzito hushusha kinga ya mwili hivo kuwa rahisi mwili wa mwanamke kishambuliwa na magonjwa mbali mbali ikiwemo UTI pamoja na FANGASI wa Sehemu za Siri (UKENI).
3. Matumizi ya dawa mbali mbali ambazo hushusha kinga ya mwili
KWA MATATIZO HAYA PAMOJA NA MENGINE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
We care We share...!!!!
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!