KWANINI WAJAWAZITO HUPATWA NA UTI AU FANGASI ZA MARA KWA MARA?

 KWANINI WAJAWAZITO HUPATWA NA UTI AU FANGASI ZA MARA KWA MARA?

Hali ya kupatwa Na Magonjwa ya Mara kwa mara hususani Uti pamoja na Fangasi kwa Mjamzito imekuwa kitu cha Mara kwa mara sana. 

Zipo Sababu mbali mbali ambazo huweza Kuleta hali hii ila Sababu Kubwa Ni hii;

Ujauzito hushusha kinga ya Mwili hivo kupelekea Mjamzito kuwa katika hatari ya kushambuliwa na Magonjwa kwa Urahisi zaidi ikilinganishwa na Mtu ambaye hana Mimba, hivo basi hali ya kuwa na Kinga ndogo ya Mwili huruhusu mashambulizi ya magonjwa kama Uti,Fangas,PiD n.k.

Sababu zingine hutokea hata kwa Wengine ni kama;

Usafi wa Vyoo

Usafi wa Mwili

Usafi wa Maji ya kutumia Kunywa na Chooni pia.

Kutumia Maji yaliyokaa Mda mrefu chooni n.k

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!