LIFAHAMU CHANGO LA UZAZI KWA MWANAUME NA TIBA YAKE.

CHANGO LA UZAZI

• • • • • •

LIFAHAMU CHANGO LA UZAZI KWA MWANAUME NA TIBA YAKE.


Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. 


Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni. 


Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya tumbo mara kueneza anapokuwa mdogo. 


Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja ungo.


 Maumivu hayo hupelekea mtu (mume/mwanamke) kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi.


DALILI ZAKE

1..Kwa mwanaume atakuwa akishiriki tendo la ndoa, anawahi sana kufika kileleni na kurudia mara nyingine ni vigumu sana.

2..Pia mwanaume hatakuwa na uwezo wa kusimamisha.

3..Ni vigumu kumpa mimba mwanamke.


Madhara kwa Mwanaume

1..Kuwa na mbegu ambazo haziwezi kutunga mimba

2..Kiwango kinachozalishw cha megu ni kidogo mno

3..Kuwa na kiwewe cha kushiriki tendo la ndoa

4..Kusimama na kusinyaa kwa uume


Tiba ya Chango la Uzazi

1..Ni vizuri sana kumweleza Dr. Dalili zote mtu anapojisikia.

2..Mara nyingi ugonjwa huu hautibiwi kwa dawa za hospitalini, bali ugonjwa wa chango la uzazi hutibiwa na miti shamba.

3..Dawa inayotibu ugonjwa huu ni dawa inayotibu kizazi.

Matumizi yake kawaida mtu ataitumia kulingana na ukubwa wa tatizo lake.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!