UKE MKAVU
• • • • • •
LIJUE TATIZO LA UKE MKAVU.
Ni tatizo ambalo hutokea kwa wakina wanawake wengi. Inasababishwa na vitu vingi kikubwa zaidi ni ukosefu wa uwiano wa homoni za uzazi. Homoni ya estrogen.
✅Ni tatizo ambalo mwanamke hukosa ute kabisa hasa wakati wa tendo la ndoa, uke huwa mkavu kabisa haijalishi ameandaliwa kwa muda gani na mwenza wake.
VISABABISHI VYA UKE MKAVU.
-Hormône imbalance (ukosefu wa uwiano wa homoni) (kama unanyonyesha, msongo wa mawazo, huzuni (depression), kama ndio umetoka kujifungua hivi karibuni nk)
-Magonjwa ya zinaa kama kaswende,gonorea n.k
-U.T.I sugu
-Fangasi sugu ukeni
-Uke mchafu
-Matumizi ya sabuni za ant biotics kusafishia uke
-Kukosa lishe ya kutosha ambayo usababisha upungufu wa kinga mwilini.
- kama ovari zako zimetolewa
- kama unafanya matibabu ya kansa
DALILI ZA UKE MKAVU:
-maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
-kutokwa na damu wakati na baada ya tendo la ndoa
-kukosa/kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa
-maumivu chini ya kitovu wakati wa tendo la ndoa
-kutoshika mimba
-maumivu ya viungo na mifupa
-siku za hedhi kutokuwa na mpangjlio maalumu
-kutofurahia tendo la ndoa
NI VYEMA UKAPIME KUHAKIKISHA NI TATIZO LIPI LINALOKUSUMBUA ILI UWEZE KUPATA HUDUMA NA USHAURI SAHIHI! KARIBUNI WOTE!
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!