MALEZI YA MIMBA NA UKUAJI WAKE.

MIMBA

• • • • • •

MALEZI YA MIMBA NA UKUAJI WAKE.


1. Wiki ya 4 hadi 8

hizi wiki 4 ni moja ya wiki ambazo ukuaji wa mtoto unakuwa wa KASI SANA. 

2. kufikia wiki ya nane...

kijusi ( mtoto )

moyo wake unadunda ( kawaida moyo wa mtoto unaanza kudunda akiwa na wiki 6 )


3. mtoto anakuwa na urefu wa sentimita 2 ( mbili )

na mtoto anakua kwa wastani wa milimita moja kwa siku. 

miguu na mikono vidole vyake ninaanza kujitokeza lakini vina utando kama vidole vya bata... Karibia mifumo yote ya mwili imeanza kujitengeneza... 4. Endapo mjamzito anapatwa na kichefuchefu... anashauriwa kula kidogo kidogo mara kwa mara inasaidia kupunguza kichefuchefu. 

5. Kunywa maji na folic acid mengi ni muhimu... kunasiadia kupunguza uwezekano wa kuvimbiwa.... na kuongeza ukimiminika wa damu.


nb. mama ataanza kuhisi kukojoa mara kwa mara hiyo ni kawaida. asijibane akisikijia kukojoa


6. wali upikwe na maziwa fresh ( mlo huu unasaidia  kuongeza madini ya chuma ( Ca) hii hupunguza uwezekano wa kuugua kifafa cha mimba )


7. HAKUNA kiwango chochote kinachorusiwa kwa mjamzito cha pombe au sigara au bangi au madawa ya kulevya. 

8. kipindi hiki wajawazito wengi sana ndio wanaanza kupata mabadiliko ya mood, ( NB Sio kupenda kwako ni kutokana mabadiliko ya homones.) 9. kula udongo... au kutaka aina fulani ya chakula inadhihirisha kuwa huenda mjamzito husika ana upungufu wa madini mwilini. 

nimesema HUENDA maana wengine hutokana na mabadiliko ya homones tuu.


kwa mengi zaidi ungana nasi katika Group la WhatsApp inbox ,, kiingilio elfu 1 kwa mwezi kupata mafunzo yote ya namna sahihi ya kulea ujauzito wako kuanzia siku ya kwanza hadi miezi 9.

.

.



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!