PARACHICHI
• • • • • •
MAMA MJAMZITO & PARACHICHI
Parachichi ni tunda bora sana kwa mama mjamzito.Huwa na utajiri wa folate,potassium,vitamin C & B6 ambavyo huimarisha utengenezwaji wa ubongo na mfumo wa fahamu wa mtoto kwa ujumla wake. Husaidia sana katika kumkinga mtoto na hatari ya kuzaliwa na tatizo la mgongo wazi.
Kwa mama mjamzito,huimarisha kinga ya mwili wake katika kuutunza ujauzito huu pamoja na changamoto ya kuugua magonjwa ya asubuhi mara kwa mara.Kwa kipekee kabisa,hupunguza tatizo la kuvimba,kuwashwa na maumivu ya miguu hasa kwenye hatua ya 3 ya ujauzito
.
.
afya
afyaclass
afyatips
magonjwa
magonjwa ya wanaume
magonjwa ya wanawake
magonjwa ya watoto
makala
muhimu
new
post
uzazi
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!