Ticker

6/recent/ticker-posts

MAMBO AMBAYO HUTAKIWI KUYAFANYA WAKATI WA KUJIFUNGUA



KUJIFUNGUA

• • • • • •

MAMBO AMBAYO HUTAKIWI KUYAFANYA WAKATI WA KUJIFUNGUA


Wakati wa kujifungua ni wakati ambao mama mjamzito huusubiri kwa ham kubwa sana  baada ya kuvumilia kwa miezi tisa na wengine na zaidi ,wakati huo mama huhitajika kutuliza akili na mawazo yote yawe katika hatua hiyo ya mwisho wa kuitwa mama mjamzito leo nitazungumiza baadhi ya mambo ambayo hutakiwi kuyafanya pindi muda wa kujifungua unapofika


1.KUTOKULA VYAKULA VYA MAFUTA 

Wakati wa ujauzito ni wakati ambao mfumo wa umengenyaji chakula hupunguza  ufanyaji kazi wake  na hvyo kuna uwezekano kua ukila vyakula vingi kwa wakati mmoja au vyakula vyenye mafuta ,vyakula hvyo visiweze kumengenywa na kupelekea kuvitapika..hivyo nakushauri wakati wa kujifungua pendelea kula vyakula mfano:matunda kwa wingi,yorgout,kunywa maji mengi sana.


2.KUTOKULAZIMISHA KUSUKUMA(KUPUSH)

Kikawaida kitendo cha kujifungua kwa mwanamke kimetengezwa kiweze kutokea automaticaly hvyo nakushauri relax kabisa wakati wakujifungua japo wakati mwingine mambo hubadilika na hivyo hubidi kufanyiwa oparesheni kwa ajili ya kujifungua.

nakushauri wakati wa kujifungua fuata maelezo sahihi unayopewa na mkunga au muuguzi au dakitari  lakini pia jaribu kubadili  staili za ulalo lakini usilalie tumbo wala kulalia mgongo inashauriwa ulale kiubavu..


3.KUPIGA MAKELELE 

Sio kwamba imepigwa marufuku kupiga kelele wakati wa kujifungua kwanza kabisa yaweza tokea pale mama anapo loose control wakati wa kupush lakini kwa upande mwingine upigaji wa kelele huweza kumpunguzia nguvu mama mjamzito na hivyo kutumia nguvu nyingi kpiga kelle badala ya kutumia nguvu hiyo kupush


.

.





Post a Comment

0 Comments