Ticker

6/recent/ticker-posts

MAMBO YA KUFANYA KWA MTU ALIYEUNGUA NA MOTO



ZINGATIA YAFUATAYO KWA MTU ALIYEUNGUA NA MOTO

◾Katika ajali ya moto, hasa ajali kubwa ni rahisi kuchanganyikiwa na kujikuta hujui la kufanya ili kumsaidia aliyeathirika, au kujisaidia mwenyewe. Haya ni mambo machache unayoweza kufanya ili kutoa msaada katika jeraha la moto

.

.

.

1. Mwondoe kutoka kwenye chanzo cha moto. Mweke sehem salamana yenye hewa ya kutosha.

.

2. kama jeraha ni dogo mwaga maji safi juu ya ngozi iliyoungua kwa dakika 10 mpaka 15. Au tumia nguo safi uliyoilowesha kwenye maji safi kukanda sehemu iliyoungua.

.

3. Kufanya hivi kunasaidia kupooza, kupunguza maumivu na kusafisha ngozi.

.

4. Kwa majeraha makubwa ya moto, epuka kuingiza kidonda kwenye maji baridi kwasababu maji haya yanaweza kushusha sana joto la mwili kiasi cha kuhatarisha maisha.

.

5. Mvue vitu vyote vya kubana kama pete, mkanda, saa na vitu vingine vilivyopo karibu na sehem alizoungua. Wahi kabla mwili haujaanza kuvimba

.

6. Usiondoe nguo zilizogandia kwenye vidonda au kuungulia kwenye mwili.

.

7. Usipasue malengelenge yaliyojitokeza baada ya kuungua.

.

8. Inua sehem aliyoungua juu zaidi ya usawa wa moyo. Kama ameungua kwenye mikono au miguu.

.

9. Funika eneo la jeraha na kitamba safi. .

.

.

Muwahishe muathirika kwenye kituo cha afya au hospitali iliyo karibu nawe. Na wakati mnaelekea hospitali au kituo cha afya, mpe maji ya kunywa kidogokidogo kila baada ya mda mfupi kama yuko macho na anaweza kunywa.

.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!







Post a Comment

0 Comments