MATATIZO NA MATOKEO YA FIGO KUFELI

MATATIZO YA FIGO KUFELI

➡️ MAGONJWA YA FIGO.

Endapo figo zako zikiwa hazifanyi kazi vizuri basi mwili utapata matatizo kadha Wa kadha ambayo yanasumbua sana na yanaweza kukupelekea ukapoteza maisha kama hutatibiwa au kupewa figo


Mambo yafuatayo yanaweza kuashiria kuwepo kwa matatizo ya figo 

1) MAUMIVU YA KICHWA YA MARA KWA MARA


2)KUKOSA USINGIZI USIKU KUSIKOELEWEKA


3)MWILI KULEGEA LEGEA MARA KWA MARA NA KUA NA UCHOVU MARA KWA MARA HATA KAMA UNAPUMZIKA VIZURI

.

4) KUA NA NGOZI KAVU NA INAYOWASHA.


5) KUTOA HARUFU MBAYA MDOMONI NA KUA NA LADHA YA CHUMA MDOMONI.


6)HAMU YA KULA KUPUNGUA NA KUPUNGUA UZITO


7) KICHEFUCHEFU NA KUTAPIKA MARA KWA MARA


8) KIFUA KUBANA NA KUISHIWA PUMZI NA UNAKUA KAMA MGONJWA WA PUMU(ASTHMA)


9) KUVIMBA MIGUU,ENKA,TUMBO,USO,MIKONO NK


10) MAUMIVU YA MGONGO YA MARA KWA MARA


11) KUVIMBA MACHO


12)MKOJO KUPUNGUA SIKU HADI SIKU AU KUKOSA MKOJO KABISA


13) MABADILIKO YA AKILI,HASIRA ZA MARA KWA MARA,KUSAHAU SAHAU NK


Kama wewe ni mgonjwa Wa KISUKARI PRESHA,HIV,HOMA YA INI,SARATANI,MTU WA MIAKA 40 NA KUENDELEA,MLEVI,MNENE MNENE NA UMETUMIA DAWA ZA KUONDOA MAUMIVU KWA MUDA MREFU na una pata dalili au ishara nlizotaja hapo juu nakushauri UMUONE DR ILI APIME HALI YA MAFIGO YAKO. 

USIPUUZIE NA USIVUMILIE BALI CHUKUA HATUA

TAFADHALI SHEA KWA WATU WENGI NA WATAG WENGI .MATATIZO YA FIGO KWA SASA YANAZIDI KUSHAMIRI NA UELEWA BADO NI MDOGO. .

.


.



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!