MATUMIZI YA DAWA AINA YA PARACETUM AU PANADOL KATIKA MAISHA YA KILA SIKU
PARACETUM/PANADOL
Hii ni jamii ya dawa ambayo hutumika sana katika maisha ya Kila siku ya Watu. Dawa hii hutibu matatizo mbalimbali Kama;
- Maumivu ya aina yoyote kama vile,maumivu ya Kichwa,Kiuno,kidonda n.k
- Dawa hii husaidia kushusha Homa kwa mtu yeyote, mwenye umri wowote
- Na Mengine.
ANGALIZO; Dawa hii hutakiwa kutumika kwa dose sahihi kwa Umri sahihi,kwani sio dawa nyepesi kama wengi wanavyodhani, Hapa tunakumbuka msemo ambayo husema,ukitaka Kujua 1×3 sio sawa na 3×1 basi wewe andikiwa Dawa 1×3 Halafu umeze 3×1.
Lengo la Msemo huu ni kukumbusha kuzingatia matumizi sahihi ya Dose za Dawa.
Kwani dawa huweza kugeuka kuwa sumu,badala ya kukuponya basi ikakuua.
.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!