MAUMIVU YA KICHWA AMBAYO LAZIMA UMUONE DAKTARI

KICHWA KUUMA

• • • • • •

Watu wengi husumbuliwa na maumivu ya kichwa, Inakadiriwa zaidi ya nusu ya watu wazima huumwa kichwa walau mara moja kwa mwaka


Kuna zaidi ya sababu 200 za kichwa kuuma lakini mara nyingi huwa ni mkazo wa mawazo, uchovu, kutolala vizuri, njaa, mwili kuishiwa maji 


MAUMIVU YA KICHWA AMBAYO UKIPATA UNATAKIWA KUMUONA DAKTARI

1. Maumivu ya ghafla ya kichwa yanayogonga kama nyundo


2. Maumivu ya kichwa yanaoyoambatana na shingo kukakamaa


3. Maumivu ya kichwa yanayoambatana na homa kali


4. Maumivu ya kichwa yanaoyoambatana na dedege au kuchanganyikiwa


(📝NormanJonasMD)


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!