MAUMIVU YA KIUNO YA MARA KWA MARA,HUSABABISHWA NA NINI?

MAUMIVU YA KIUNO


Maumivu ya kiuno  ya mara kwa mara huweza kusababishwa na sababu mbalimbali ikiwemo; Maambukizi katika via vya uzazi vya mwanamke yaani PID, maambukizi katia njia na mfumo wa Mkojo yaani UTI, kuwa na tatizo kwenye utumbo mkubwa, au kuwa na shida katika misuli ya Nyonga pia.


Lakini pia maumivu ya mda mrefu ya kiuno huweza kusababishwa na shida ya TB ya kudumu au kwa kitaalam tunaita Chronic TB.


Sababu zingine ni za kawaida kama vile; kufanya kazi za kuinama sana, kunyanyua vitu vizito, au kulala vibaya usku.


MATIBABU

Matibabu ya hali hii huzingatia sababu au chanzo cha maumivu hayo,kwahyo ni vzr kuongea na wataalam wa afya ili kugundua shida hiyo chanzo chake ni kipi,na kupata tiba sahihi..



KWA USHAURI ZAIDI, ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584 






0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!