MTOTO KUCHELEWA KULIA(BIRTH ASYPHXIA,HIE)

MTOTO KUCHELEWA KULIA(BIRTH ASYPHXIA,HIE)

Hii ni ile hali ambayo Mtoto aliezaliwa kushindwa kulia Mara moja baada ya kuzaliwa,kupoteza fahamu na hata kupata degedege.

 Hii inawapata watoto walozaliwa ujauzito ukiwa na miezi 8 na kuendelea..

 Kikawaida mtoto akizaliwa anatakiwa alie Mara moja na kuna uchunguzi Wa kitaalamu anafanyiwa kiitwacho apgar score na kama Mtoto yuko vizuri anapewa apgar score ya 8,10... Apgar ikiwa chini ya 7 basi hapo kuna tatizo.. 

Wapo watoto wanazaliwa wanapata huo mushkeri lakin wanakaa sawa ndani ya saa 24 ,hali kadhalika kuna ambao hali huzidi kuendelea na Mtoto kupata madhara makubwa sana na hata kufariki.

 Katika kitu ambacho kinachosababisha vifo vya watoto wengi kipindi wazaliwapo ni hii hali na kuna watu wengi wana utindio Wa ubongo,akili ndogo,kifafa ambavyo ni matokeo ya hali hii walipozaliwa..

VISABABISHI VYA HALI HII.

Hali hii husababishwa kwa kiasi kikubwa na ukosefu Wa hewa ya oksijeni kwa Mtoto pindi tu anapokua njiani kutoka..Hii Mara nyingi Mtoto hukaa kwenye njia muda mrefu bila kupata oksijen na virutna matokeo yake ni kwamba maeneo muhimu katika mwili huanza kudhoofu  na hata kushindwa kufanya kazi kabisa na mwisho wake ni Mtoto hutoka kashafariki au kufariki saa chache baadae ya kuzaliwa.


MAMBO AMBAYO YANAPELEKEA HII HALI


Itaendelea...


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!





0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!