MUHIMU SANA KWA WAZAZI NA WALEZI

 MUHIMU SANA KWA WAZAZI NA WALEZI🚩

Meno yaliyokaa kama haya ya kwenye picha yanaashiria Mtoto ALIAMBUKIZWA KASWENDE AKIWA TUMBONI  kwa mama yake(congenital syphilis).. Kama mwanao au kuna mtu unamuona ana meno ya hivi basi jua uwezekano wa kua na kaswende no asilimia 99, hivo basi mshauri afike hospital ili atibiwe..

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!