MWANAMKE ANASHAURIWA KUKOJOA MARA BAADA YA TENDO LA NDOA SABABU HIZI HAPA
KUKOJOA
• • • • • •
MWANAMKE ANASHAURIWA KUKOJOA MARA BAADA YA TENDO LA NDOA SABABU HIZI HAPA....
. Katika hali ya kawaida asilimia kubwa ya wanawake huwa wana utaratibu wa kukojoa mara baada ya kujamiiana ,hii sio tu husaidia kusafisha uke bali husaidia kujikinga na maambukizi ya UTI
Kikawaida wakati wa kujamiiana husababusha wadudu wasababishao UTI kuhama kutoka mahala pake (sehemu ya haja kubwa ) na kuhamia ukeni na zaidi wanaweza kwenda katika njia ya mkojo(urethra)
Ukojoaji mara tuu baada ya kujaamiiana husaidia kuflush bacteria hao hivyo kumkinga mwanamke na ugonjwa wa UTI
njia Hii pia ikifanyika kwa wananume inasaidia pia kuwakina na UTI.
.
.
afya
afyaclass
afyatips
magonjwa
magonjwa ya wanaume
magonjwa ya wanawake
magonjwa ya watoto
makala
muhimu
new
post
uzazi
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!