UTI NA FUNGASI SUGU.
Watu wengi wanapokuwa na U.T.I huenda kupewa antibiotics ambazo huenda kuua bakteria wazuri na matokeo yake baada ya muda U.T.I inarudi kwa kasi sana.Matatizo haya Yana madhara Sana. HEBU TUPEANE MBINU ZA KUJIEPUSHA:
NAMNA YA KUJILINDA NA U.T.I NA FANGASI.
1. Kunywa maji mengi angalau glasi nane kwa siku.
2. Epuka matumizi ya pombe na kahawa.
3. Kunywa maji kabla ya kufanya mapenzi na kojoa baada ya kufanya mapenzi(endapo hauhitaji mimba).
4.Jitawaze kuanzia mbele kwenda nyuma. (Front to Back)
5. Kata makucha marefu kwa sababu unavyokwenda chooni kujitawaza huwa baadhi ya uchafu unabaki kwenye makucha na ndio chanzo cha wanawake wengi kuwa na U.T.I inayojirudia mara kwa mara.
6. Tumia pads ukiwa kwenye period.USIVAE KWA MUDA MREFU
7.Ebuka kujipulizia pafyumu kwenye sehemu za siri.
8. Vaa nguo za ndani za pamba na epuka nguo zilizobana sana.
9.Kuwa na mwenzi mmoja na tumia kinga endapo utaona mwenzako sio mwaminifu.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!