NAMNA YA KUOSHA UKE
Habarini wadau wangu Wa nguvu,Leo nataka nitoe somo maalumu kwa wanawake, Siku hiz nimekua nikipata maswali mengi sana yahusuyo kutokwa na uchafu sehemu za siri Mara kwa Mara katika kuchunguza nimegundua kwamba wanawake wengi hua hawajui namna ya kusafisha uke zao na kam haujui kuosha uke nakuambia utaendelea kukesha hospitali ukilalamika kuhusu uchafu na kuwashwa ukeni
NAOMBENI TUFUATENI NINACHOSEMA KWA WANAWAKE
1) USIPIGE DEKI(DOUCHING):Kumekua na kasumba wanawake wengi wanadanganyana kuhusu kuosha uke kwa kutumia kidole ,kitambaa,sabuni nk.Nataka niwaambie watu wangu huo ni upotoshaji na jua kwamba uke unajiosha wenyewe kabisa. Usije ukaingiza kidole ndani ya uke kwa minajili usafi,huu ni kuzidi kujiharibu kwani kwa kufanya hivo kutaondoa wale bakteria wazuri na walinzi Wa uke na kuwapa nafasi wale fangasi na vimelea Wa kisamaki kupata nguvu ya kushambulia uke.KAMWE USIPIGE DEKI UKE
2) FUTA SHAVU LA NDANI: Katika kujiswafi andaa kitambaa safi kiloeke kwenye maji safi bila ya sabuni na baada ya hapo futa shavu lako la ndani pande zote mbili ,baada ya hapo futa na kwenye makutano ya shavu la ndani na nje,Usitumie nguvu kubwa kusafisha maana unaeza kuchubua mashavu yako.
3) OSHA SHAVU LA NJE: Kwenye kuosha shavu la nje waweza kutumia kitambaa kisafi na sabuni kidogo ,tumia sabuni ambazo hazina dawa ,futa kwa kuanzia mbele kwenda nyuma na usisugue kwa nguvu
4) OSHA MAUMBILE YA NJE(VULVA): Kwa hapa nje unaeza kuosha kama kawaida kwa kutumia maji safi na sabuni,sabuni ni za kawaida sio zile zenye dawa. Maeneo ya nje sote tunayafahamu bila shaka.
5) USAFI WA MAENEO JIRANI; kuna kusafisha maeneo jirani na uke kama eneo kati ya uke na haja kubwa, unaweza kusafisha maeneo haya kwa sabuni za kawaida ,kumbuka wakati unasafisha nakushauri anzia mbele kwenda nyuma ili usije ukahamisha bacteria kutoka nyuma na kuwaweka kwenye uke ambao wanaweza kuuletea uke shida.
6) ACHA KUTUMIA SEX TOYS ,ACHA KUINGIZA NDIZI,KAROTI,BIRINGANYA,WATER COMPRESSOR UKENI.
NIMEMALIZA KUANDAA HAKA KAMAKALA KAFUP KA KUSAFISHA UKE,NAAMIN KAMEKUSAIDIA KIDOGO.
KUNA UPOTOSHAJI UNAENDELEA KWAMBA USIPOINGIZA KIDOLE UTANUKA UCHI,HII SIO KWELI KWANI KUINGIZA INGIZA VIDOLE. #doktamathew
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!