NGUO ZA NDANI NA UENEZAJI WA FANGASI SEHEMU ZA SIRI

 Tambua kwamba, Nguo ya Ndani huweza kuwa chanzo kikubwa cha kukusababisha Upate Fangasi Sehemu za Siri.


Je inawezekanaje hii?


Kuvaa Nguo ya Ndani mbichi,au ambayo haijakauka vizuri hutengeneza mazingira mazuri kwa ajili ya Fangasi sehemu za Siri.


Wewe utakuja kuona dalili tu kama vile miwasho sehemu za Siri, au kwa wanawake hata uchafu wenye rangi kama maziwa na wenye harufu mbaya huanza kutoka ukeni


Epuka Tabia hii,Sio salama kwako


Kwa Ushauri zaidi,Elimu au Tiba pia tuwasiliane kwa namba +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!