SABABU 7 AMBAZO HUWEZA KUZUIA YAI LA MWANAMKE LISIPEVUSHWE
OVULATION (Kupevusha YAI) ni hali ambayo YAI la mwanamke lililokomaa Linatoka kwenye MFUKO WA MAYAI Na Kufika kwenye Mrija ili likutane na Mbegu za Mwanaume na mimba Itungwe.
Mwanamke HAWEZI PATA MIMBA Bila HILI LAI KUPEVISHWA1.Ulaji wa mbovu huvuruga homon na kumfanya mwanamke Asipevushe
2.stress hufanya mwanamke Asipevushe yai.
3.diet Kali sana ona hapo huyo anakula Karoti moja Ndio MLO.
4.baadhi ya dawa mfano dawa kali za maumivu,dawa za uzazi wa mpango
5.magonjwa kama Kisukari,PCOS,hormonal imbalance.
6.mazoez MAKALI sio mazuri kabisa kwa mwanamke anaetafuta Mimba.
7.umri zaid ya miaka 35 huwa upevushaji wa yai/mayai unakuwa chini sana.
NB.kama haupati MIMBA ni vema pia kuchunguzwa homons, na Kuchunguzwa kama Unapevya mayai au la.
Unaweza ukawa Unapata period KAWAIDA,mzunguko ukawa vizuri lakin Ukawa HAUPEVUSHI mayai kwa namna moja Ama Nyingine...
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!