SABABU ZA KUKOSA HEDHI KWA MWANAMKE
🔻 KUKOSA HEDHI KWA MWANAMKE
Visababishi vya kuchelewa au kukosa kupata hedhi. kwa sababu umechelewa kuona siku zako, na unajua wewe si mjamzito?
.
Kuchelewa kuona siku zako au kuzikosa huwez kutokea kwa sababu mbalimbali tofauti na ujauzito.
.
Wanawake wengi huona siku zao baada ya siku 28. Ingawa mzunguko wa hedhi kawaida huweza kutumia siku 21 hadi siku 35. Ikiwa hujapata hedhi katika kipindi hiki, zifuatazo huweza kuwa visababishi.
.
1. Msongo wa mawazo pamoja na Hasira
2. Uzito mdogo au uliokithiri
3. Njia za uzazi wa mpango
4.Magonjwa"infection" yakiwemo yale ya kudumu au mda mrefu kama KISUKARI
5.Mabadiliko ya mazingira
6.Magonjwa ya Tezi ya Thyroid
#Hedhi
#OmbeniMkumbwa
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!