🔻SABABU ZA MIMBA KUTOKA YENYEWE HASA MIEZI MITATU YA MWANZONI
MIMBA UNAYOITAKA,AU ULIYOKUWA UNAITAFUTA IKITOKA,ni pigo kubwa mnooo,Inaumiza Sana(waliopitia hili wananielewa).
Visababishi vikubwa vya Mimba Kutoka Miezi MITATU YA KWANZA,(yaan First trimester miscarriages).
.
.1.CHROMOSOMAL DEFECTS hii Inaongoza kwa kusababisha Mimba Kutoka kwa asilimia zaidi ya 75%,na wengi mimba Zinatoka kuanzia mwezi mmoja mpaka miwili(wiki ya 4 mpaka 8),na Hii Mwanamke anapozidi kuwa na umri mkubwa,yaan zaid ya Miaka 35,inakuwa inatokea zaid.
.
2.Wingi au Upungufu wa baadhi ya Vichocheo vya Mwilini au HORMONE IMBALANCE,unasababisha Pia kwa kiasi kikubwa Kutoka Kwa mimba miezi mitatu ya Kwanza,na lifestyle ya siku hizi,vyakula tunavyokula,Utoaji Mimba,njia za uzazi wa mpango,vinachangia mvurugo wa hormone
.
3.INFECTIONS au MAAMBUKIZI kwenye mfumo wa damu Kama RUBELLA,Cytomegalovirus,Toxoplasmosis na infection kwenye mji wa uzazi,kama PID,Endometritis etc.
.
Lakini Pia,mtu ambae Mimba Inatoka,Anakuwa Hatarini Zaidi mimba zifuatazo Kutoka asipokuwa na uangalizi wa karibu na wataalamu Wa Afya... .
.
NB📌.
Kwa mtu mwenye Shida ya MIMBA kutoka,Tena kama zinatoka mfululizo..kukimbilia kubeba mimba Sio suluhisho, Tiba Na ushauri uzingatiwe Kwanza,Pata DAWA za kuweza kuweka kwanza Hali yako Iwe Vizuri,Umeambiwa Chanzo cha Mimba Zako kutoka ni NINI?????
Nina SULUHISHO,DM ME,Upate Tiba,Mimba zako zidumu Miezi 9 upate WATOTO,Karibu sana.
Cr. Dr Latifa
.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!