SABABU ZA MTU KUPATA KITAMBI
KITAMBI
• • • • •
SABABU ZA MTU KUPATA KITAMBI
Zipo sababu mbali mbali ambazo huweza kusababisha mtu kupata kitambi, Leo tugusie baadhi ya Sababu hizo;
- Kukaa Mda mrefu au kufanya kazi za kukaaa kwa Mda mrefu pasipo kufanya Mazoezi yoyote
- Kula vyakula vyenye Wanga mwingi na kwa kiasi kikubwa
- Unywaji wa pombe Mara kwa mara kwani pombe ina kiwango kingi cha sukari
- Kula vyakula Jamii ya mafuta mafuta Kwa wingi
ANGALIZO:
Kitambi sio kuwa na afya Nzuri kama watu wengi wanavyodhani, Kama una kitambi jitahidi;
- Kufanya Mazoezi
- Kuepuka kula vyakula vywenye wanga mwingi na kwa kiasi kikubwa
- Epuka kula vyakula vya mafuta sana
- Epuka unywaji wa pombe
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!