SAMAKI NI MOJA YA VYAKULA BORA KABSA

SAMAKI

• • • • • •

Samaki 🐟 ni moja ya vyakula bora kabisa kiafya 

.

◾Samaki kama sato wana Omega3 nyingi ambayo hulinda moyo na kurutubisha ubongo na akili 


.

◾Protini Bora isiyo na mafuta

.

 ◾Kujenga mifupa imara 👉Tunashauriwa kutumia samaki walau mara 2 kwa wiki 

.

.

◾Samaki ni muhimu sana kwa mama mjamzito, Virutubisho vya samaki husaidia sana katika utengenezaji wa ubongo na mfumo wa fahamu wa mtoto tumboni. 👉 Mjamzito atumie samaki walau mara 2 kwa wiki. 

.

.

◾Samaki wa baharini kama Pweza huwa na kiwango cha kutosha cha madini aina ya zinc ambayo husaidia sana utendaji kazi wa mfumo wa uzazi. 👉Huboresha ubora wa mbegu za kiume na kusaidia nitric oxide kutanua mishipa ya damu kwenye uume.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!