TAHADHARI KWA WALE WANAOFUNGUA SODA,AU BIA KWA MDOMO AU MENO

KUFUNGUA SODA AU BIA KWA MDOMO AU MENO KUNA MADHARA GANI?

• • • • • •

Watu wengi hawajui kwamba kufungua vinywaji vya chupa kama Soda au Bia kwa kutumia Mdomo au meno kunaweza kuleta madhara makubwa kwao.

Epuka Tabia hii,usitumie meno yako au Mdomo kufungulia vinywaji vyako. Tabia hii ni hatari kwa afya yako.Inaweza kusababisha mpasuko wa meno au hata kukufanya umeze masalia machache ya vipande vya chupa husika ikiwa itapasuka/kusagika bila uelewa wako. Chukua hatu,wajibika ipasavyo!

Epuka Tabia hii Kwani ni hatari Kwako

.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!





0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!