TATIZO LA KUPATA MAFUA MARA TU BAADA YA TENDO LA NDOA

MAFUA NA MAPENZI

• • • • • •

Post orgasmic illness syndrome (POIS). Hii ni hali ya mafua(flu like symptoms) ambayo huwakuta wanaume baada tu ya kumwaga bao (ejaculate) pindi wanaposhiriki tendo la ndoa.


NINI KINASABABISHA UGONJWA HUU.

✓ Bado haijafahamika sababu zinazopelekea hali hii. (Cause is unknown)  lakini wanasayansi ya afya wanaamini kwamba hali hii hutokea kwa sababu za ki alleji ambazo hutokea mwilini na kusababisha reaction kwenye semen ya mwanaume. 


✓ lakini pia sababu nyingine ni kutobalance kwa kemikali katika ubongo wa mwanaume husika.

#drngimi




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!