TATIZO LA KUTOA DAMU KWENYE FIZI LINASABABISHWA NA NINI?

TATIZO LA KUTOA DAMU KWENYE FIZI PAMOJA NA SABABU ZA TATIZO HILI

• • • • • •

Tatizo la fizi kutoa damu huchangiwa kwa kiasi kikubwa na upungufu wa vitamin C mwilini. Dalili zingine za upungufu wa vitamin hii ni uchovu wa mara kwa mara usio na sababu maalumu,ngozi kutokwa na mabaka,kupauka kwa rangi ya ngozi,kukawia kupona kwa vidonda,maumivu kwenye maungio ya mwili pamoja na kuugua homa za mara kwa mara

-

Tunaweza kuipata vitamin C kwa wingi kupitia matunda yenye uchachu hasa ndimu,limao,machungwa pamoja na matunda mengine kama mapera,mboga za majani kama spinach,broccoli na cabbage. cc.afyainfo 

.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!





0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!