TATIZO LA MWANAUME KUWA NA MBEGU ZA KIUME CHACHE (LOWSPERM COUNT)
Mwanaume anaweza akawa Hazalishi kabisa mbegu za kiume,au akawa anazalisha mbegu kidogo sana ambazo hazina uwezo kumpa mwanamke Mimba,au akawa anazalisha mbegu ambazo hazina ubora(hazina mwendo,hazina vichwa au mikia),Lakin AKAWA Anasimamisha Uume kawaida na anamwaga shawaha kawaida.
Mnapopota shida kutopata mimba TAFADHARI wanaume na nyie mfanyiwe VIPIMO sio wanawake tu.
wanawake wengi mnoooo tanzania wanapimwa wao tu hata kama hawanashida wanakunywa tu midawa lakin unakuta MUME hajawahi kanyaga hospitali.
Kuna mdada katumia dawa miaka MIWILI,baadae ndo nikamshauri mume wake Akapime Pia,niliongea na yule mbaba mpaka Kaingia Line,kuchunguzwa kumbe ana mbegu chache sana lakin pia Homon zake zilikuwa chini za Kiume lakin pia alikuwa na UZITO mkubwa Sana na alikuwa mnywa Pombe Balaaa,
Akapata tiba,akaanza mazoezi na ushauri wa ulaji akazingatia,Pombe alipumzika, kabia sasa wana MIMBA🥰.
Wanaume BADILIKENI kwenye Hili,msipeleke tu lawana kwa Wake Zenu.
Lakin pia
Mnavyilotafuta mimba,hata mume anatakiwa zingatia USHAURI ya mbinu za kusaidia MPATE MIMBA.kama kuacha Pombe na/sigara,kufanya mazoezi,kuzingatia ushauri juu ya Ulaji.... (NA Uzazipoint)
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!