SEX
• • • • • •
TENDO LA NDOA BAADA YA KUJIFUNGUA.
Ingawa hakuna kipindi (muda) maalumu cha kusubiri kabla hujaanza kushiriki tendo la ndoa , lakini wataalamu wengi hushauri mwanamke aliyejifungua kusubiri kwa wiki sita (siku 40 ) ndipo anaweza kuanza kushiriki tena tendo la ndoa.
Kipindi au muda ambao una hatari kubwa kwa mwanamke aliyejifungua kushiriki tendo la ndoa ni wiki mbili za mwanzo baada ya kujifungua.
Hii haijalishi mwanamke alijifungua kwa njia gani, iwe ni njia ya kawaida (spontaneous vertex delivery) au kwa njia ya upasuaji (cesarian section)
.
.
afya
afyaclass
afyatips
magonjwa
magonjwa ya wanaume
magonjwa ya wanawake
magonjwa ya watoto
makala
muhimu
new
post
uzazi
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!