UGONJWA WA CHLAMYDIA

 ➡️ UGONJWA WA CHLAMYDIA

Chlamydia ni ugonjwa unaowapata watu wengi na unaenezwa kwa ngono. Ni ugonjwa unaoshambulia jinsia zote na mara nyingi hauonyeshi dalili zo zote. Dalili zikionekana, ni baada ya wiki kadhaa kutoka siku ya mambukizi.

.

Chlamydia huenezwa na baktria aitwaye Chlamydia trachomatis. Bakteria huyu hupatikana kwenye shingo ya kizazi (cervix), mrija wa mkojo, uke na/au sehem ya haja kubwa.. Bakteria pia huishi ndani ya koo. Namna yo yote ya kujamiiana inaweza kumweneza bakteria huyu

DALILI ZAKE

Dalili za chlamydia zinaweza kuwa:


. Maumivu ya sehemu ya chini ya tumbo

. Maumivu wakati wa kukojoa

. Maumivu wakati wa tendo la ndoa

. Maumivu ya nyonga

. Usaha au uchafu kutoka kwenye uume

. Kutoka damu kwenye mkundu

. Uchafu kutoka kwenye mkundu

. Maumivu kwenye mkundu

. Maumivu kwenye korodani

. Kukojoa mara kwa mara

. Uchafu kutoka ukeni

. Maumivu ukeni

. Kutokwa damu katikati ya hedhi na baada ya tendo la ndoa kwa wanawake

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!