MBA KWENYE NGOZI
Tatizo hili huwapata wanawake zaidi ya wanaume hasa wale wanaopenda kusuka au kuacha Kichwa na nywele nyingi au ndefu.
Mba huweza kusababishwa na sababu nyingi na matibabu yake hutegemea na chanzo cha tatizo hilo.
VISABABISHI VYA MBA KWENYE NGOZI
Visababishi vya mba kwenye Ngozi hasa maeneo ya kichwani au Ngozi ya kichwani ni pamoja na;
- Uwepo wa tatizo la Fangasi wa kwenye Ngozi
- Matumizi ya baadhi ya sabuni
- Matumizi ya Baadhi ya Dawa za nywele hasa zile zenye kemikali aina ya Hydrogen perioxide
- Matumizi ya maji ambayo sio masafi
- N.K
TIBA
Matibabu ya mba wa Ngozi hutegemea na sababu au chanzo cha tatizo hili,kwahyo basi kama una shida hii kutana na wataalam wa afya
KUMBUKA; Jukumu langu kwako,ni kukushauri,kukuelimisha na kukupa msaada wa kimatibabu pale inapohitajika.
@ Kwa ushauri zaidi,Elimu au Tiba tuwasiliane kwa namba +255758286584, Tuma ujumbe au piga simu utasikilizwa na utahudumiwa pia.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!